TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, December 21, 2010

SAFARI YA MWISHO YA ABUU SEMUHANDO

12:31 AM


Hii ndio ilikuwa safari ya mwisho ya mpiga drums wa Band ya Twanga Pepeta Abuu Semuhando enzi hizo akifahamika kama Baba Diana,Baba Sharifa ama Baba Zaituni.Mazishi ya Baba Diana yalifanyika nyumbani kwake katika kijiji cha Kibanda Muheza mkoani Tanga.Mamia ya wanamuziki na Wadau mbalimbali wa muziki walijitokeza kwenda kumzika mwanamuziki huyo aliyefariki kwa ajali ya kugongwa na gari akiwa na pikipiki yake.Mimi na wafanyakazi wenzangu wa RJ Company nawapa pole familia ya Semuhando na kampuni ya ASET kwa kumpoteza mtu muhimu katika band.Mungu amuweke mahala pema peponi Amen


Mkuregenzi wa ASET Asha Baraka akipokea dua kabla ya kwenda kuzika

Asha Sharapova akilia kwa uchungu kwa kumpoteza kiongozi wake katika Band

Ilikuwa ni huzuni tupu katika kijiji cha Kibanda muheza

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA