TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, December 18, 2010

RED CARPET KATIKA FAINALI ZA BBS 2010 ZILIZOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MLIAMANI CITY USIKU WA KUAMKIA

7:50 PM



Lady in Blue mmoja wa mashabiki wa BSS 2010 aliyefika kushuhudia Fainali za Shindano hilo katika red carpet.


Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano Airtel ambao ni moja ya wadhanimi wa Shindano hilo Beatrice Singano katika red carpet.


Mshiriki wa Shindano la BSS 2010 Christabella Kombo ambaye alishika nafasi ya 4 akishow love katika red carpet.


Msanii katika tasnia ya filamu nchini Jacqueline Wolper.


Msanii wa Kizazi kipya Sarah Kaisi a.k.a Shaa.


Mwanadada mrembo naye alipata nafasi ya kupigwa picha.


Mrembo katika pozi matata kwenye red carpet.


Mtangazaji wa Kituo cha televisheni Star TV Sauda Mwilima aking’ara kwenye red carpet.


Mmoja wa majaji usiku huo Salama Jabir akishow love kwenye red carpet.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA