TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, December 18, 2010

Fainali Za Michuano Ya Bongo Star Search 2010.

7:50 PM



Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Cindy akiwasili katika ukumbi wa Mlimani City zilipofanyika fainali za BSS 2010.

Cindy akifanya mahojiano na MC Baby Madaha.


MC Baby Madaha ambaye alikuwa mshiriki wa BSS 2009 akifanya mahojiano na mgeni rasmi Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mh.Dk.Emmanuel Nchimbi mara tu baada ya kuwasili katika eneo la tukio(kushoto) ni mwenyeji wake Mkurugenzi wa Bench Mark Production Madam Ritha Paulsen.


Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark Production, Rita Polsen akichat jambo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo Dk. Emmanul Nchimbi, baada ya kumkaribisha alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam, kushuhudia fainali za michuano ya Bongo Star Search 2010.

Kadhali Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe (kulia) akichati jambo na waziri nchimbi baada ya waziri huyo kuwasili ukumbini. Kushoto ni Madam Rita.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA