TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, December 10, 2010

FFU wa Ngoma Africa Band inawatakia kila la heri ya miaka 49 ya uhuru

12:15 AM

Bendi ya mziki wa dansi " Ngoma Africa Band" aka FFU yenye maskani yake Ujerumani,inawatakia watanzania wote walio nyumbani na nje,kila la heri ya
sherehe za miaka 49 ya uhuru.
Pia inaitakia kila la heri nchi yetu Tanzania nchini ya Uongozi wake Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete.
Aman,Upendo,Umoja na Mshikamano Mungu Ibariki Tanzania jipe raha at http://www.myspace.com/thengomaafrica

1 comments:

Anonymous said...

tunakukubali baba kamanda wa ffu,saluti zenu za milio ya mbwa nazo tumezisikia,

Post a Comment

 
BONYA HAPA