TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, December 23, 2010

AKUTWA AMECHINJWA NDANI YA DALADALA MIYOMBONI IRINGA

2:35 PM


Maiti ya mzee Bukuri ikiwa imechinjwa shingo na watu wasiofahamika usiku wa leo ndani ya daladala isiyofanya kazi

Wananchi wa mji wa Iringa wakitazama maiti hiyo leo asubuhi


Daladala iliyokutwa maiti hiyo

Tukio hili la kinyama limetokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la Miyomboni katika manispaa ya Iringa ambapo aliyeuwawaamefahamika kwa jina moja pekee la Bukuri na inasadikika alikuwa akijihusisha na kazi za kusaidia kushusha samaki wabichi katika eneo hilo.
Habari kamili ya tukio hili utaipasa katika kipindi cha matukio cha Redio Overcomers Fm (98.6 ) leo saa 1 .00 usiku ama sikiliza Redio wapo Fm kwa wakazi wa jijini Dar es Salaam pia waweza kusoma gazeti la Tanzania Daima kesho Ijumaa

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA