TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, November 5, 2010

uchaguzi wa jumuiya hyderabad

9:03 PM

UMOJA WA WANAFUNZI WA KITANZANIA
HYDERABAD-INDIA
(TSAH)
Uchanguzi wa Viongozi
Tarehe 7/11/2010

Tunapenda kuwataarifu wanafunzi wote wa Kitanzania, wanaosoma katika vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za kitaaluma hapa Hyderabad India, kuwa ule Mkutano Mkuu wa uchaguzi wa viongozi wa Umoja Utafanyika katika tarehe iliyotajwa hapo juu katika ukumbi wa Community Hall, hmt bearings, Sainikpuri kuanzia saa saba mchana.
Uchaguzi utasindikizwa na burudani murua toka kwa Watanzania wenye vipaji katika Muziki na Komedi.

Wagombea wetu ni :

MWENYEKITI
1. Mathias jackson
2. Humphrey Damas

KATIBU
1. John Gagah

KATIBU MWENEZI
2. Flaviana Chacha
3. Frank Felix

Mnakumbushwa kuzingatia muda

Tabagi, A
Mwenyekiti, Kamati ya uchaguzi

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA