TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, November 17, 2010

tanzania yafungua ubalozi mdogo wa heshima swaziland

11:47 PM

Maofisa wa ubalozi wakiwa kwenye mnuso wa kusherehekea ufunguzi wa ofisi hizo za ubalozi mdogo wa heshima (honorary Consul) mjini Manzini leo.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Swaziland Mh. Lutfo Dlamini akisaini katika kitabu cha wageni akiangaliwa na Balozi wetu Msumbiji Mh. P. Ngaiza (shoto) na Afisa ubalozi Bw. Ndallahwa wakati wa ufunguzi wa ofisi ya ubalozi mdogo wa heshima (Honorary Consul) mjini Manzini leo.

Waziri wa mambo ya nje wa Swaziland akisoma hotuba yake kwenye mnuso mdogo wa kusherehekea ufunguzi wa ubalozi huo mdogo wa heshima mjini Manzini leo

Mwambata wa Jeshi Kanali Lwimbo na mai waifu wake walikuwepo

Maofisa wa ubalozi wakipozi kwenye hafla hiyo


0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA