TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, November 16, 2010

Sikuku ya Eid Al Hajj. 2010 Mjini Maryland US

11:54 PM


Sala ya Eid al-Haji kwa waislamu wote duniani. picha ni msikiti wa Community Center (MCC) 15200 New Hampshire Avenue Silver Spring, MD.


Waislamu wa mjini maryland nchini marekani, wakisikiliza hutba ya sala ya eid al-hajj. Leo Nov 16/10 iliyosaliwa katika msikiti wa, Mcc New Hampshire Avenue, Silver Spring, MD. Sala ya 7:30 Asubuhi.

Jumuiya ya waislamu Tanzania tamco, wakipata picha ya pamoja baada ya sala ya eid al-hajj. Leo asubuhi Nov,16/10. Na mvua za hapa na pale zikizidi kushamiri jijini maryland kwa siku ya leo.

Sheikh Abdallah Ali, pamoja na Said said wakipata picha ya pamoja baada ya sala ya Eid al-hajj leo asubuhi Nov,16/10

Ninaweza nikasema mimi pia nilikuwepo katika sala ya Eid al-hajj, nikiwa na sharif. Abdulkareem. Leo asubuhi tulikuwa na mvua za hapa na pale.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA