Hongera Mheshimiwa Rais" Mbunge wa Maswa Magharibi(CHADEMA) Mh.John Shibuda akimsalimia Rais Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya kuwapongeza wabunge iliyofanyika katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana usiku.(Picha na Freddy Maro)
Mwenyekiti wa CCM Rais Dr.Jakaya mrisho Kikwete akilisakata rumba na Mwenyekiti wa TLP ambaye pia ni mbunge wa Vunjo Agustine Mrema wakati wa hafla ya kuwapongeza wabunge iliyofanyika katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana usiku. Kulia ni Mwimbaji wa Kundi la Jahazi Modern Taarab,Mzee Yussuf. (picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment