Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Bw. Sethi Kamuhanda akikabidhiwa vitabu na Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni wa Kiingereza (British Council) Bi. Sally Robinson jana jijini Dar es Salaam. Kituo hicho kilitoa vitabu 200 vyenye thamani ya Shilingi milioni 5 vya fani ya michezo kwa ajili ya Chuo cha Michezo cha Malya kilichopo wilayani Kwimba, Mwanza. Picha na Concilia Niyibitanga
0 comments:
Post a Comment