TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, October 25, 2010

ASKARI POLISI NA FAMILIA ZAO WAFANYA IBADA YA PAMOJA KENYA

7:21 PM


Kikosi cha Misitu pamoja na familia zao wakiingia katika kanisa la Romani Catholic upande wa the holy family Minor Basilica kwa ajili ya kuanza ibada ya shukrani kwa Mungu iliyofanywa jana na askari Polisi na familia zao nchini Kenya(Picha Zote na Anna Nkinda, Nairobi).
Katekista pamoja na wahudumu wa kanisa la Romani Catholic upande wa the holy family Minor Basilica wakiwaongoza askari Polisi wa Kenya pamoja na familia zao kuingia kanisani kwaajili ya kuanza ibada ya shukrani kwa Mungu iliyofanywa jana na askari hao.
Rais Mwai Kibaki (wa pili kushoto) akisalimia na mmoja wa Makamanda wa Jeshi la Polisi nchini Kenya wakati wa ibada ya shukrani kwa Mungu iliyofanywa jana na askari hao pamoja na familia zao katika kanisa la Romani Catholic upande wa the holy family Minor Basilica.
Rais Mwai Kibaki (wa pili kushoto) akiangalia kwaya ya askari wa Kike na wake za maaskari mara baada ya kumalizika kwa ibada ya shukrani kwa Mwenyezi Mungu iliyofanywa jana na askari Polisi wa Kenya pamoja na familia zao katika kanisa la Romani Catholic upande wa the holy family Minor Basilica.
Rais Mwaikibaki akikata keki baada ya kumalizika kwa ibada ya shukrani kwa Mwenyezi Mungu iliyofanywa jana na askari Polisi wa Kenya pamoja na familia zao katika kanisa la Romani Catholic upande wa the holy family Minor Basilica huku Askofu wa kanisa hilo pamoja na makamanda wa Jeshi hilo wakishuhudia.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA