Watu tuliojitambua tunaishi leo sio jana ambayo imeshapita na sio kesho ambayo sio yetu. Ishi leo sasa hivi ndio yako. Je? Ulishawahi kujiuliza mapungufu ya Dini juu ya mapenzi? Wakrito, NDOA YA MILELE. Padre au Askofu anajua wanaume na wake wakorofi. Waislam nao eti kuoa wake 4 ruksa. Wanajua wivu au ubabe ambao umetawala katika ndoa? Kuwa huru usitishwe na sheria hewa za dini. Usifujwe kwenye ndoa na mumeo au mkeo kwa kisingizio cha dini, ishi huru. Dini ni maandiko tu. Hata wewe kuandika unawezahttp://ruhuwiko.blogspot.com
1 comments:
man waswahil wanasema kuwa toa tongotongo lako ndio utoe la mwenzio!
Post a Comment