TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, June 14, 2010

Iweje tujitie kitanzi wenyewe?

10:30 AM


Watu tuliojitambua tunaishi leo sio jana ambayo imeshapita na sio kesho ambayo sio yetu. Ishi leo sasa hivi ndio yako. Je? Ulishawahi kujiuliza mapungufu ya Dini juu ya mapenzi? Wakrito, NDOA YA MILELE. Padre au Askofu anajua wanaume na wake wakorofi. Waislam nao eti kuoa wake 4 ruksa. Wanajua wivu au ubabe ambao umetawala katika ndoa? Kuwa huru usitishwe na sheria hewa za dini. Usifujwe kwenye ndoa na mumeo au mkeo kwa kisingizio cha dini, ishi huru. Dini ni maandiko tu. Hata wewe kuandika unaweza
http://ruhuwiko.blogspot.com

1 comments:

Anonymous said...

man waswahil wanasema kuwa toa tongotongo lako ndio utoe la mwenzio!

Post a Comment

 
BONYA HAPA