TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, May 26, 2010

Tiketi za WOZA 2010 kwa Tanzania zawasili

11:55 AM
Picture
Afisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Florian Kaijage kizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam kuhusiana na utaratibu wa kupata tiketi zilizoletwa na FIFA ili kushuhudia baadhi ya michezo ya Kombe la Dunia.
Kwa sababu za kiusalama na uthibitisho, watu wote walionunua tiketi hizo wanahitajika kuwa na risiti zao pamoja na picha ndogo 'Passport Size' ili waweze kupatiwa tiketi zao. (credit: Muhidin Sufiani)

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA