Wadau wangu baada ya kuwaambia kuwa nitawaletea part 2 ya picha za Birthday ya Nice Chande iliyofanyika ndani ya Boat na kuwa gumzo ndani ya Jiji la Dar es salaam leo nimeamua kuwaleteeni matukio mengine yaliyojiri ndani ya Boat na kisiwani Bongoyo,Sherehe hii ilikusanya baadhi ya mastaa wa bongo ilifanyika na kumalizika kwa amani bila mtu yeyote kudhuriwa na hakuna vitendo vyovyote vile vibaya vilivyotokea,hongera muandaaji na waalikwa
Swahiba alijiandaa kabisa kabla ya hatari hapa akiwa na Silvanus Mwilu
Wadau wa Birthday wakijipongeza
Huyu jamaa anaitwa Mussa wa kipindi cha Uswazi Eatv yeye ndiye alikuwa Mc wa shughuli nzima kwakweli jamaa ni bonge la Mc aliendesha shughuli kwa umakini mkubwa sana Big up kaka nikiwa na shughuli yangu lazima nikuite
Auntie Ezeckiel akiwa anaangalia ampake nani cake usoni
Muziki ulifunguliwa rasmi na Mc, hapa mambo ya Mtalimbo umelala doro
Birthday gal akifungua muziki kwa kucheza Yori yori
Ilikuwa zamu ya Yusuph Mlela kucheza Yori Yori,hapa ilikuwa kila mmoja lazima acheze huu wimbo
Ilifika zamu ya Mc Mussa kukata mauno jamaa anayaweza kama kichura wa Eatv
Mambo ya Jackline Wolper hayo
Sauda Mwilima huyo na mambo ya Yori yori
Jamani kisigino kilikuwa live siku hiyo
Uliwadia muda wa usiku na burudani zikaendelea kama kawaida,Hapa ni kisiwani Bongoyo
Ndani ya Boat zilipigwa sebene za kufa mtu
Birthday gal Nice Chande akicheza mpira ndani ya kisiwa cha Bongoyo
Shangwe zikiendelea kama kawa
Hongera Nice Chande watu walifurahi sana
Tinno akicheza ngoma za Kwaito
Mambo yameshashika kasi tayari,Mlela akiwa juu kabisa ya Boat
Camera man Farid Uwezo mambo yalimzidi ilibidi aweke camera pembeni
Mc akimwangalia Tino akifungua champagne
Champagne ilifunguliwa kuashiria upendo kwa Nice Chande na waalikwa wote
0 comments:
Post a Comment