TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, October 19, 2009

Soko la Pamoja E.A

12:13 PM
Mwenyekiti wa Kikao cha Mawaziri wa Sheria na Wanasheria Wakuu kutoka nchi za Afrika Mashariki, Tharcisse Karugarama (2 kushoto) akiongoza kikao cha kujadili na kuangalia kuwa Itifaki ya Soko la Pamoja inakidhi mahitaji ya kisheria kabla haijakabidhiwa kwa mawaziri wenye dhamana na Jumuiya ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA