TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, October 15, 2009

Mzee Mwinyi kunguruma leo

1:14 PM
Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, leo anakutana na vyombo vya habari kuzungumzia kuhusu maendeleo ya majukumu ya kamati yake iliyoundwa na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi CCM) kufuatilia mienendo ya wabunge wanaoishambulia serikali kwa ufisadi ndani na nje ya Bunge.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA