Watoto wa Rais Jakaya Kikwete wakimpongeza baba yao kwa kutimiza umri wa miaka 59. Aliyempa mkono ni Rashid Kikwete Chodo, kushoto kwa Rais ni Khalfan Kikwete, na mtoto wa mdogo wake, Lulu Khalfan Kikwete. Tafrija hiyo ya kifamilia ilifanyika jana, Ikulu, Dar es Salaam. (Picha na Freddy Maro).KIKWETE APONGEZWA NA WANAE KWA KUFIKISHA MIAKA 59
Watoto wa Rais Jakaya Kikwete wakimpongeza baba yao kwa kutimiza umri wa miaka 59. Aliyempa mkono ni Rashid Kikwete Chodo, kushoto kwa Rais ni Khalfan Kikwete, na mtoto wa mdogo wake, Lulu Khalfan Kikwete. Tafrija hiyo ya kifamilia ilifanyika jana, Ikulu, Dar es Salaam. (Picha na Freddy Maro).
0 comments:
Post a Comment