MBUNGE wa Same Mashariki, mkoani Kilimanjaro, Anne Kilango Malecela, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu ushirikiano wake na Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Tangawizi, Mamba jimboni kwake, kuandaa harambee ya chakula cha jioni, Oktoba 16 mwaka huu, kuchangisha Sh bilioni 1.5 kwa ajili ya ununuzi wa mitambo ya kiwanda cha kusindika tangawizi.Anne Kilango Malecela ALONGA...
MBUNGE wa Same Mashariki, mkoani Kilimanjaro, Anne Kilango Malecela, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu ushirikiano wake na Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Tangawizi, Mamba jimboni kwake, kuandaa harambee ya chakula cha jioni, Oktoba 16 mwaka huu, kuchangisha Sh bilioni 1.5 kwa ajili ya ununuzi wa mitambo ya kiwanda cha kusindika tangawizi.
0 comments:
Post a Comment