TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, September 11, 2009

Zawadi ya Miss Tanzania 2009 hii hapa

8:38 PM

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Shivacom, Parthiban Chadra (kushoto) na Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom, Ephraim Mafuru (wa pili kushoto) wakikabidhi funguo ya gari Suzuki Grand Vitara lenye thamani la shs milioni 53.2 atakalopewa mshindi wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2009 kwa Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania, Hasim Lundenga katika hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Giraffe jijini Dar es Salaam leo.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA