Mkurugenzi Mtendaji wa Zain Tanzania,Khaled Muhtadi(kushoto)akikabidhi tuzo ya cheti kwa mfanyakazi wa Zain,Dickson Casmir(kulia)ikiwa ni kumtambua kama mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo waliofanya vizuri zaidi katika robo ya tatu ya mwaka 2009.Hafla hiyo ilyofanyika hivi wiki hii jijini Dar es Salaam iliandaliwa na Zain Tanzania kwa ajili ya kuwazawadia wafanyakazi wake waliofanya vizuri zaidi.
Wednesday, September 23, 2009
0 comments:
Post a Comment