ha h ahaa, hii lazima ni maeneo ya Marangu hivi, na shipata shawo! Wakishautwika wa kutosha hapo wanaanza kuimba mapambio na nyimbo za Mwimbieni Bwana! al maarufu ya wimbo, 'mahali ni pazuri, ndugu wanapokaa, wakipatana vyema na wakipendana'.... WaChagga ni kiboko!
2 comments:
ha h ahaa, hii lazima ni maeneo ya Marangu hivi, na shipata shawo!
Wakishautwika wa kutosha hapo wanaanza kuimba mapambio na nyimbo za Mwimbieni Bwana! al maarufu ya wimbo, 'mahali ni pazuri, ndugu wanapokaa, wakipatana vyema na wakipendana'.... WaChagga ni kiboko!
hahah iyo ni mchagga?
Post a Comment