TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, September 9, 2009

4:20 PM
pinda kulonga na wadau new delhi jumanne ijayo
TAARIFA KWA WANAFUNZI WATANZANIA WANAOSOMA INDIA
Uongozi wa TASA - NEW DELHI, Unapenda kuwataarifu watanzania wanaosoma hapa New Delhi na India kwa ujumla kuwa tumealikwa na Ubalozi wa Tanzania Siku ya jumanne , TAREHE 15 MWEZI HUU, saa TATU asubuhi katika ubalozi uliopo
CHANAKYAPURI,
EP - 15 C,
kwa ajili ya kukutana na kusalimiana na
WAZIRI MKUU
Mheshimiwa MIZENGO PINDA .
Kwa Mujibu wa Afisa Ubalozi anayeshughulikia masuala ya wanafunzi Bw AMON MWAMANENGE, amewaomba wanafunzi wote kufika kwenye ubalozi huo saa TATU ASUBUHI siku hiyo ya tarehe 15 SEPTEMBA, 2009 kwa kuwa Mheshimiwa Waziri Mkuu atakuwa na ratiba iliyobana.
Atakayepata taarifa hii amtaarifu na mwenzie.
TASA - NEW DELHI
DAIMA MSHIKAMANO.
ASANTENI.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA