Wajumbe waliohudhuria Mkutano wa Vijana na Watoto wa Kimataifa wa TUNZA, uliofanyika kwenye mji wa Daejeon, Korea ya Kusini walipokamilisha vikao vyao mwisho wa wiki iliopita walitoa mwito maalumu unaowataka viongozi wa dunia kuchukua hatua kali, za dharura, kudhibiti bora athari za mabadiliko ya hali ulimwenguni.Vijana wawasihi viongozi wa dunia kuonyesha vitendo kudhibiti mabadiliko ya hali ya hewa
Wajumbe waliohudhuria Mkutano wa Vijana na Watoto wa Kimataifa wa TUNZA, uliofanyika kwenye mji wa Daejeon, Korea ya Kusini walipokamilisha vikao vyao mwisho wa wiki iliopita walitoa mwito maalumu unaowataka viongozi wa dunia kuchukua hatua kali, za dharura, kudhibiti bora athari za mabadiliko ya hali ulimwenguni.
0 comments:
Post a Comment