Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania Mh. Mary Herrit Chibibi Stella Longway (nyuma shoto) akiwasili chumba namba 1 cha mahakama kuu tayari kwa sherehe ya kumuaga rasmi baada ya kuitumikia idara ya mahakama wka miaka 35. Hafla hiyo ilisimamiwa na Jaji Kiongozi Mh. Fakih Jundu na kuhudhuriwa na majaji wastaafu na wali kazini wa mahakama ya rufaa, mahakama kuu na familia sehemu ya waheshimiwa wakati wa shughuli hiyo Mh. Mary Herriet Chibibi Stella Longway akisoma risala yake ya kuaga Katika picha ya pamoja na majaji picha ya pamoja na wana familia
picha ya pamoja na wafanyakazi wa mahakama kuu kitengo cha ardhi ambacho Mh. Longway alikuwa akikiongoza Mh. Longway na majaji wastaafu wenzie, toka shoto Mh. John Mrosso, Mh. Damian Lubuva, Mh. Longway, Mh. Robert Kisanga na kulia ni Jaji Kiongozi Mh. Fakih Jundu. akihojiwa na TBC 1
akiwa na bintiye Juliana na mai mkwe wake akiwa na mabinti wa Hamza Azizi ambao familia zao zimeishi pamoja toka enzi ya mwalimu na tanu
0 comments:
Post a Comment