![]() |
| VIDEO: WATOTO WAOANA HUKO DODOMA!
Hii imetokea huko Mkoani Dodoma ambao watoto walifungishwa ndoa, huku familia zao zikifurahi na kula pilau.
Unaweza usiamini, lakini kipindi cha Wanawake Live kilishuhudia LIVE kwa kuhudhuria na kufanya udadisi wa kina kwa familia, viongozi wa serikali na wanandoa wenyewe wachanga.
Video nzima iko hapa: http://youtu.be/
Code to Embed:
|
Thursday, October 3, 2013

0 comments:
Post a Comment