TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, October 7, 2013

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa Azindua Rasmi na Kuwekwa Wakfu Kwa Kanisa la Usharika wa Mabibo External Jijini Dar es Salaam.

1:15 PM
 Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa akikata utepe katika ibada maalum ya ufunguzi rasmi na kuwekwa wakfu kwa kanisa la usharika wa Mabibo External, Dar es Salaam.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa, akimtambulisha kwa waumini wa kanisa hilo la usharika wa Mabibo External, sanjari na kumtia moyo katika utendaji wake, Mbunge wa Jimbo la Ubungo-Chadema, John Mnyika,  kwenye ibada maalum ya ufunguzi rasmi na kuwekwa wakfu kwa kanisa la usharika wa Mabibo External, Dar es Salaam.Picha Zote na Dande Francis

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA