TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, September 7, 2013

MISS UNIVERSE TANZANIA KUHITIMISHA USAILI WA WAREMBO JUMAMOSI

4:32 PM
MISS UNIVERSE TANZANIA KUHITIMISHA USAILI WA WAREMBO JUMAMOSI

DAR ES SALAAM

PRESS RELEASE

Miss Universe Tanzania chini ya kampuni ya Compass Communications  inakamilisha jumamosi

hii usaili wa warembo jijini Dar es Salaam.

Timu ya Miss Universe Tanzania ilifanya mchakato wa usaili na picha (scouting)  katika mikoa 8 

ambayo ni pamoja na Mwanza, Arusha, Kilimanjaro, Mbeya, Dodoma, Manyara, Mtwara na Dar

Miss Universe Tanzania msimu huu utafanya fainali zake mwezi Septemba  taehe 27  katika

ukumbi wa Makumbusho ya Taifa (NATIONAL MUSEUM), Shaban Robert street  jijini Dar es

Mashindano ya mwaka huu umepata wafadhili mbalimbali ikiwa ni pamoja na Mohamed

Enterprises na Fastjet. Wadhamini wengine watajulikana ndani ya siku chache. Wadhaimini

wote watatambullishwa wiki ijayo.

Kuhusu Miss Universe Tanzania:

Miss Universe Tanzania ilianza mashindano yake mwaka 2007 na mshindi wake alikuwa

Mwanamitindo Flaviana Matata na aliweza kuitoa kimasomaso nchi yetu ya Tanzania kwa

kushika nafasi ya Sita kidunia.Mwaka uliofuata, 2008 mrembo Amanda Ole Sululu alimrithi

Flaviana Matata  na kuvaa taji la Miss Universe Tanzania 2008 akifuatiwa na mrembo Illuminata

James mwaka 2009, kisha Hellen Dausen mwaka 2010. Baadae taji lilichukuliwa na Nelly

Kamwelu 2011 na mwaka jana 2012 taji lilinyakuliwa na mrembo Winfrida Dominic.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na MWANAKOMBO SALIM  0655 441165, SEIF KABELELE-

0713302075 USAHILI WA DAR ES SALAAM UTAFANYIKA KESHO TAREHE 7-9-2013 PALE

NYUMBANI LOUNGE KUANZIA SA NNE ASUBUHI.

P.O BOX 105133 DAR ES SALAAM TANZANIA , TEL: +255 22 2182405

P.O BOX 105133 DAR ES SALAAM TANZANIA , TEL: +255 22 2182405

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA