Muigizaji maarufu wa Bollywood
Raveena Tandon akicheza densi na kundi moja la wacheza densi wa Zulu
mjini Durban, Afrika Kusini siku ya Ijumaa. Alikuwa anahudhuria uzinduzi
wa sherehe ya kutuzwa kwa wasanii wanaowika zaidi kwenye filamu na
televisheni wa Afrika Kusini na India
0 comments:
Post a Comment