TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, March 7, 2013

Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt Apokewa Kwa Nderemo Ikulu,Akutana na Rais Jakaya Kikwete

1:01 PM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt  Ikulu Dar es salaam leo.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtembeza  Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt katika viunga vya Ikulu kabla ya mgeni huyo kupanda mti wa kumbukumbu.
 Rais Jakaya kikwete pamoja na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt wakielekea kupanda  mti wa kumbukumbu viwanja vya ikulu leo
Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt akipanda mti wa kumbukumbu huku mwenyeji wake akishuhudia  leo Ikulu
 Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt akinyeshea  mti wa kumbukumbu huku mwenyeji wake akishuhudia  leo Ikulu
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika maongezi ya faragha na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt leo Ikulu
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimueleza  Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt aina ya mti ataoupanda leo Ikulu
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtembeza  Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt katika viunga vya Ikulu kabla ya mgeni huyo kupanda mti wa kumbukumbu.
 Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt akisalimiana na maafisa waandamizi wa Ikulu katika viunga vya Ikulu kabla ya mgeni huyo kupanda mti wa kumbukumbu.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt baadhi ya mawaziri pichani akimsalimia waziri wa mambo ya nje na ushiirikiano wa kimataifa Bernard Membe
  Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt akisalimiana na Waziri wa kazi na  Ushirika wa Zanzibar Mhe Haroun Ali Suleiman
Mamia ya wananchi wakijiandaa kumlaki Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt kupitia lango la Mashariki la Ikulu Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake  Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt wakiingia Ikulu huku wakishangiliwa
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt  Ikulu Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika maongezi ya faragha na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt leo Ikulu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na  Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt na ujumbe wake wakati wa mazungumzo rasmi
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu Ikulu Mhe. Sanga na maofisa wengine waandamizi wakati akimsibiri mgeni wake
 Msafara wa Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt ukikaribia lango la Mashariki la Ikulu Dar es salaam leo.Picha zoe na IKULU

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA