![]() |
| MAJAMBAZI 10 wakiwa na bunduki tatu pamoja na mapanga, wamevamia kambi ya Mkandarasi wa Kampuni ya SIETCO kutoka nchini China, iliyopo eneo la Igingilanyi, mkoani Iringa na kupora fedha taslimu sh. milioni 100, dola za Marekani 11,560, euro 54,910 na kuwajeruhi wachina wanne kwa mapanga.Pia majambazi hao walichukua fedha za Kishina RMB 1,600, kompyuta ndogo 13 (Laptop), kamera mbili za video, simu 12 za mkononi pamoja na gari gari lenye namba T 693 BVV aina ya Toyota Pickup. Uvamizi huo umetokea …read more Source: Majira |
Tuesday, March 19, 2013

0 comments:
Post a Comment