Askari wa mbwa wakiimarisha ulinzi wakati wa kesi hiyo.
Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare akionesha ishara ya vidole ambayo ni salamu kwa wafuasi wa chama chake wakati akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana
Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chadema, Wilfred Lwakatare akiwa na mtuhumiwa mwenzake, Ludovick Joseph wakiingia mahakamani jana

Polisi wakisindikiza msafara wa gari lililompakia Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chadema, Wilfred Lwakatare kuelekea mahabusu hadi April 3 mwaka huu.
Wafuasi wa Chadema wakiwa wamekusanyika nje ya mahakama hiyo jana
Mwenyekiti wa Chadema an Mbunge wa Hai , Freeman Mbowe akiteta jambo na mke wa Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chama hicho, Wilfred Lwakatare jana.Picha Zote na mdau Francis Dande
0 comments:
Post a Comment