TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, March 20, 2013

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule na Balozi wa India Nchini Tanzania Balozi wa India wasaini Mkataba wa Makubaliano kati ya Chuo cha Diplomasia cha Tanzania na Taasisi ya Utamaduni ya India.

2:49 PM

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule (kulia) kwa pamoja na Balozi wa India hapa nchini, Mhe. Debnath Shaw wakisaini Mkataba wa Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) kati ya Chuo cha Diplomasia (CFR) cha Tanzania na Taasisi ya Utamaduni ya India (ICWA). Uwekaji saini huo ulifanyika Wizarani jana tarehe 19 Machi, 2013.
 Bw. Haule akibadilishana Mkataba na Balozi Shaw mara baada ya kusaini.
 Katibu Mkuu, Bw. Haule pamoja na Balozi Shaw wakionesha Mkataba huo.
 Katibu Mkuu Bw. Haule akizungumza na Balozi Shaw mara baada ya kukamilisha zoezi la uwekaji saini mkataba wa Ushirikiano kati ya Chuo cha Diplomasia cha Tanzania na Taasisi ya Utamaduni ya India.
 Mhe. Balozi Shaw akichangia hoja wakati wa mazungumzo na Bw. Haule huku wajumbe wengine wakisikiliza.
 Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia, Balozi Mohammed Maundi (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Mbelwa Kairukiwakishuhudia uwekaji saini wa mkataba huo.
Wajumbe wengine waliohudhuria katika tukio hilo la uwekaji saini wa mkataba. Kutoka kushoto ni Afisa kutoka Ubalozi wa India hapa nchini, Bw. Gobal Krisha  na Bw. Ali Ubwa, Afisa Mambo ya Nje kutoka Kitengo cha Sheria.Picha Zote na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano Wa Kimataifa

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA