TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, March 13, 2013

KAMATI YA KUSIMAMIA OFISI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR YATEMBELEA JESHI LA POLISI.

11:58 AM

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali Said Mwema (kushoto) akimsalimia mjumbe wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kamati hiyo ilifanya ziara Makao Makuu ya jeshi hilo yaliyopo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya jeshi hilo.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali Said Mwema (wa tatu kutoka kushoto) akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kamati hiyo ilifanya ziara Makao Makuu ya jeshi hilo yaliyopo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya jeshi hilo.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali Said Mwema akiwafafanulia  jambo wajumbe wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kamati hiyo ilifanya ziara Makao Makuu ya jeshi hilo yaliyopo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya jeshi hilo.



PICHA ZOTE NA:KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA