
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa kamati ya katiba, Sheria na Utawala wakati wa kikao na kamati hiyo iliyokutana na watendaji wa Ofisi ya Bunge kwa lengo la kupata taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi hiyo.

Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala leo imekutana na Ofisi ya Bunge kwa lengo la kupata taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi hiyo ikiwa ni utekelezaji wa shughuli za kamati. kama anavyoonekana Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba Sheria na Utawala Mhe. Pinda Chana akizungumza jambo katika kikao na watendaji wa Ofisi ya Bunge wakati kamati hiyo ilipokutana na watendaji wa Ofisi ya Bunge kufuatilia utekelezaji wa majukumu ya Ofisi hiyo.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. William Ngeleja

Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa kamati ya katiba, Sheria na Utawala wakati wa kikao na kamati hiyo iliyokutana na watendaji wa Ofisi ya Bunge kwa lengo la kupata taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi hiyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utawala na rasilimali watu Bi. Kitolina Kippa.
0 comments:
Post a Comment