TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, March 5, 2013

Jaji Aba Kimelabalou Aapishwa Kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binaadamu

9:18 PM


 Mhe. Jaji Aba Kimelabalou akiapa ili kuitumikia Mahakanma ya Afrika ya Haki za Binaadamu, hafla hiyo imefanyika Mjini Arusha jana
 Mhe. Jaji Aba Kimelabalou akitia saini baada ya kuapishwa kuwa Jaji wa kuitumikia Mahakama ya Afrika ya Haki za Binaadamu, hafla hiyo imefanyika Mjini Arusha jana
Mhe. Jaji Mkuu wa Mhakama ya Afrika ya Haki za Binadamu Sophia Akuffo akimpongeza Mhe.Jaji Kimelabalou, baada ya kumuapisha kushika wadhifa huo jana jijini Arusha.Picha zote na Mahamoud Ahmad Arusha

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA