TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Sunday, March 17, 2013

Balozi Dk Diodorus Kamala Akutana na Watanzania Waishio Nchini Uholanzi

8:01 PM

Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania waishio Uholanzi (TANE), Bw. Musuto wa Chirangi  (aliyesimama) akizungumza wakati wa kumkaribisha Balozi Kamala.
Mwenyekiti wa TANE, Bw. Kweba Bulemo (aliyesimama Kulia), akisema machache kabla ya kumkaribisha Mhe. Balozi.
 Balozi wa Tanzania katika eneo la BENELUX, Dk Diodorus Kamala akizungumza na Watanzania wanaoishi nchini Uholanzi. Ambapo pamoja na mambo mengine aliwasihi kuwekeza nchini.
Balozi Dk. Kamala akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania wanaoishi nchini Uholanzi.Picha na Habari na Saidi Ahmed Mkabakul

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA