TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, March 19, 2013

Askari wa Barabarani wa kike afariki baada ya kugongwa na gari Dar

12:23 AM
Kamanda wa Kipolisi kwa mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela amesema marehemu WP2422 Koplo, Elikiza Nnko wa Usalama wa Barabarani, baada ya kupewa taarifa kuwa magari ya msafafa wa Rais yameshapita yote, alirudi barabarani ili kuongoza magari mengine pasina kujua kuwa dereva mwenye gari Landrover Discovery lenye namba za usajili T328BML mali ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG.)Dereva wa gari hilo, alipoona msafara umepita, kwa kasi alichomoa gari na kutaka kuiunga ionekane kuwa ipo kwenye msafara wa Rais ili apate kupita kwa urahisi, na ndipo aliposababisha ajali na kifo na kisha kutoroka kuelekea maeneo ya Ubungo na kujichanganya na magari mengine. Jeshi la polisi limeshachukua hatua ya kuwasiliana na viongowi wa TAG ili …read more
Source: Wavuti

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA