TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, March 7, 2013

ABSALOM KIBANDA APELEKWA NCHINI AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU ZAIDI

12:36 PM

 Kibanda akipakizwa kwenye ndege tayari kwa safari ya Afrika Kusini jana jioni.
 Absalom Kibanda akiwa na mkewe, Anjella Semaya, ndani ya ndege jana jioni.
Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe akimjulia hali Absalom Kibanda.…
 Kibanda akipakizwa kwenye ndege tayari kwa safari ya Afrika Kusini jana jioni.
 Absalom Kibanda akiwa na mkewe, Anjella Semaya, ndani ya ndege jana jioni.
Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe akimjulia hali Absalom Kibanda.
 Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Limited, Hussein Bashe akizungumza na waandishi wa habari katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam, kitengo cha Mifupa (MOI) kuhusiana na mipango ya kusafirishwa kwa Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Absalom Kibanda, nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana nje ya  nyumba yake wakati akitoka kazini usiku wa kuamkia jana na kuumizwa katika sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwa ni pamoja na kumtoboa jicho.
(Picha / Habari na Mdau Dande Fransic)

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA