
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IJP Saidi Mwema alipokua anawasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma alipokwenda kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi juzi jioni.Kauli mbiu ni “Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi Kukabiliana na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila Shuruti”. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe, Dk. Emmanuel Nchimbi.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi waandamizi wa Jeshi la Polisi alipokua anawasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma alipokwenda kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi juzi jioni. Kauli mbiu ni ”Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi Kukabiliana na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila Shuruti”.

ais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete, akiagana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IJP Saidi Mwema juzi katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma baada ya kufanya ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete akiingia katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa juzi jioni mjini Dodoma alipokwenda kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi. Kauli mbiu ni “Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi Kukabiliana na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila Shuruti” Nyuma yake ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IJP Saidi Mwema.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete, akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka kwa maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi juzi jioni katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni, mjini Dodoma.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IJP Saidi Mwema alipokua anawasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma alipokwenda kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi juzi jioni.Kauli mbiu ni “Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi Kukabiliana na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila Shuruti”. .Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
0 comments:
Post a Comment