TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, February 28, 2013

Neno La Leo: " Inuka Twende Ni Kwa Walioagana​!"

8:35 PM

Ndugu zangu,

Hakuna wawili watembeao pamoja pasi na maelewano.
Ukiwaona wanadamu wawili wanatembea pamoja, basi, wana makubaliano. Ni watu waliopatana.

aTaifa. Kama ndugu. Tumeanza sasa kusambaratika.

Tuinuke sasa twende kupambana na yote yenye kutugawa kama ndugu wa taifa moja. Tuna kila sababu, nia na uwezo wa kushinda mapambano haya dhidi ya ubaguzi wa aina zote.


Na hilo ni Neno La Leo.



Maggid Mjengwa,
Iringa.
0788 111 765
http://mjengwablog.co.tz/


0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA