TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, February 13, 2013

MALINZI AZUNGUMZIA KUENGULIWA KUGOMBEA URAIS TFF

2:23 PM

 Aliyekuwa Mkombea wa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na baade kuenguliwa kugombea nafasi hiyo na Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi huo, Jamali Malinzi anazungumza hivi sasa na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusiana na uamuzi huo na kusema kuwa maamuzi hayo ameyasikia tu kwa vyombo vya Habari lakini hadi sasa hajapata barua rasmi. Vile vile madai yaliyotolewa hadi kuenguliwa kwake sio  sahihi kwani sifa zote anazo.
Wanahabari ambao ni wapigapicha kutoka vyombo mbalimbali vya Habari vya ndani na Kimataifa, wakichukua picha wakati Malinzi akizungumza hii leo.
Malinzi akijibu maswali ya wanahabri hao.
Wengine walisogelea spika kunukuu maneno yake.
Waandishi mbalimbali wa habari wakimsikiliza kwa makini maelezo ya Jamali Malinzi juu ya hatua iliyochukuliwa na Kamati ya Rufaa ya uchaguzi wa TFF chini ya Mwenyekiti wake Idd Mtinginjola BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA