TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, February 27, 2013

HABARI NJEMA KUTOKA EVMAK CO. WEBHOST CO.

12:15 PM

Katika ule ulimwengu wa technologia kampuni ya EvMak imeleta tena huduma nyingine kabambe na hadimu sana kwa hapa Tanzania, mwanzo wa mwezi huu EvMak imeleta Huduma Ya Webhost ambayo inapatikana www.webhost.co.tz itakayokuwezesha kusajili jina la tofuti yako pamoja na kuhifadhi tovuti yako iwe inapatikana hewani mda wote

ukilinganisha na webhost wengine webhost ya EvMak inakuthibitishia kua tovuti yako itakua hewani kwenye asilimia 99.9% kusema hutokuta webiste yako iko slow wala umeenda nje ya mtandao hata kwa siku moja kutokana kwa EvMak kuchagua kituo cha takwimu (Data center) Ambayo iko USA yenye speed ya ajabu ya fiber na machine za nguvu za Intel Dual Quad Core Xeon processors, 24GB DDR3 Ram, large RAID-10 storage arrays kwa ufanisi mzuri wa kazi

Kwa mara ya kwanza Tanzania unaweza chagua katika tovuti yako ni kipengele gani au feature unaweza kuchagua na ambayo uhitaji uachana nayo kuokoa kulipia kitu usichohitahi kutumia




na pia ukienda domain inaweka chagua jina unalotaka kutumia kwa tovuti yako kirahisi sana kama inavyooonekana kwenye picha hapo chini kirahisi zaidi utatambulishwa kama hilo jina lipo papo hapo na kuweza kuweka order yako ndani ya mda mchache sana.




kwa ufupi www.webhost.co.tz itakuwezesha wewe unayetaka kuanziasha biashara yako ijulikane kwa mtandao uweke tovuti yako hewani bila wasi wasi
ukiwa na swali tatizo au ukihitaji maelekezo zaidi walisiana na sisi kwa kututumia barua pepe support@evmak.com na wana team wa evmak watakujibu haraka iwezekanavyo.

Huduma ya webhost. unatumiwa na
1. Web Developers
2. Bloggers
3. Business owners
4. IT Specialists
5. Marketing organizations
6. online survey
7. Non-organizations
8. Government
9.

1 comments:

Badshah said...

nice.. am interested in it.
http://staryte.ucoz.com

Post a Comment

 
BONYA HAPA