Wizara ya Fedha hazina ikishirikiana na Hospitali ya Rufaa KCMC inaendesha zoezi la kuhakiki watumishi ili kujiridhisha kwamba kila mtumishi anayelipwa anastahili kama kumbukumbu zinavyooneka. Watumishi wote wanatakiwa kuwasilisha vitambulisho pamoja na hati ya malipo ya Mshahara wa mwezi Januari 2012.
Baadhi ya watumishi na watendaji wa hazina wakiendesha zoezi la kuhakiki
Kitambulisho cha mmoja wa wafanyakazi kikihakiwa na watendaji toka hazina
Mkurugenzi rasilimali watu Bw. Stanley Mmbaga (wa tatu kulia)akisimamia zoezi la uhakiki bofya hapa
0 comments:
Post a Comment