Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya MyWay Entertainment, Paul
Maganga (Kulia) akielezea juu ya tamasha maalum la siku ya Wachaga lililodhaminiwa na Pepsi, litakalofanyika
siku ya Jumamosi Julai 28,Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, ambapo pia
litasindikizwa na bendi za Msondo Ngoma, Twanga Pepeta na vikundi vingine vya
ngoma ya asili, (Kushoto) Ni Fredrick Mtaki, Afisamahusiano wa kampuni hiyo.
0 comments:
Post a Comment