TIMU za Simba na Azam jioni ya leo zitakuwa na kibarua kigumu cha mchezo
wa fainali ya kombe la Urafiki, mchezo utakaopigwa kwenye Uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshindi katika michuano hiyo ataondoka na kitita cha shilingi milioni 10 na mshindi wa pili atapata milioni 5.
KWA HISANI YA DINA ISMAIL


0 comments:
Post a Comment