TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, July 10, 2012

SIMBA, AZAM FC KATIKA FAINALI KESHO ZANZIBAR

1:30 PM



                                                                        SIMBA SC
                                                AZAM FC

MABINGWA wa ligi kuu soka Tanzania bara Simba na Mabingwa wa michuano ya kombe la Mapinduzi Azam FC kewsho watakutana katika mchezo wa fainali wa michuano ya kombe la urafiki utakaopigwa kwenye dimba la Amaan, visiwani  Zanzibar. 
Azam imetinga hatua hiyo baada ya kuikwanyua Super Falcon mabao 2-0 huku Simba ikikata tiketi hiyo baada ya kuifunga All Stars bao 1-0. 
Mchezo huo wa fainali utakuwa wa pili kuzikutanisha timu hizo katika michuano hiyo ambapo awali zilikutana katika hatua ya makundi na kutoka sare tasa.Na Dinna ismail

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA