Kina mama waombolezaji kwenye msiba wa Shaweji.
Nape akitoa salam za Chama kwenye msiba wa Mbunge wa zamani wa Kilosa na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM mkoa wa Morogoro, Alhaji Abdallah Shaweji, wakati wa mazishi ya kiongozi huyo, yaliyofanyika eneo la Wami-Dakawa, Wilaya ya Mvomelo mkoani Morogoro, jana, Julai 30, 2012. Shaweji alifariji dunia juzi.Wengine kutoka wa pili kulia ni mdogo wa marehemu, Bashir Kikolo na Mkt wa CCM Moro, Injinia Petro Kingu picha na madam mzee
0 comments:
Post a Comment