TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, July 24, 2012

Muasisi wa Taasisi ya Jane Goodall, Dk Jane Goodall Azindua Mradi wa Miti wa Kukarabati na Kuasilisha Machimbo ya Saruji Jijini Dar es Salaam

5:31 PM
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Boko na ambaye pia ni mwanachama wa Roots and Shoots akipanda mti wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa miti wa kukarabati na kuasilisha machimbo ya saruji ya kampuni ya Twiga Cement (TPCC) uliofanyika Wazo Hill, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo.
Muasisi wa Taasisi ya Jane Goodall, Dk Jane Goodall (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Saruji ya Twiga Cement (TPCC), Pascal Lesoinne wakitembelea kitalu cha miti wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa miti wa kukarabati na kuasilisha machimbo ya saruji ya kampuni hiyo uliofanyika Wazo Hill, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Twiga Cement, Ekwabi Majigo (kulia) na Mkuu wa Rasilimali Watu wa kampuni hiyo, Jayne Nyimbo wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari za Boko na Maendeleo, wakati wa uzinduzi rasmi wa mradi wa miti wa kukarabati na kuasilisha machimbo ya saruji ya kampuni hiyo, uliofanyika Wazo Hill, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Twiga Cement (TPCC) wakimwangalia mwanaserere sokwe wa Dk Jane Goodall wakati wa uzinduzi rasmi wa mradi wa miti wa kukarabati na kuasilisha machimbo ya saruji ya kampuni hiyo, uliofanyika…
Muasisi wa Taasisi ya Jane Goodall, Dk Jane Goodall (wa nne kushoto, waliosimama), Mkurugenzi Mtendaji wa Twiga Cement, Pascal Lesoinne (kushoto kwake) na Meneja Mazingira wa kampuni hiyo, Juliet Mboneko (wa sita kushoto) wakipozi kwa picha na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Twiga Cement katika hafla ya uzinduzi wa mradi huo
 

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA