Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa
PPF,William Erio (katikati)akifurahia jambo na Mbunge wa Kigoma Kaskazini
Zito Kabwe-CHADEMA, (kushoto), Alipotembelea banda hilo kwenye Maonyesho ya 36 ya
Biashara ya Kimataifa Uwanja wa Sabasaba Dar es Salaam na kulia ni
Meneja Mahusiano ya Umma PPF,Lulu Mengele.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni
wa PPF,William Erio (kulia) akizungumza na Mbunge wa Kigoma Kaskazini
Zito Kabwe-CHADEMA (kushoto), Alipotembelea banda hilo kwenye Maonyesho ya 36 ya
Biashara ya Kimataifa Uwanja wa Sabasaba Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa
PPF,William Erio (kulia)akimsikiliza kwa makini Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zito
Kabwe(CHADEMA)kushoto, Alipotembelea banda hilo kwenye Maonyesho ya 36 ya
Biashara ya Kimataifa Uwanja wa Sabasaba Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa
PPF,William Erio (kulia) akizungumza na Mbunge wa Kigoma Kaskazini(CHADEMA) Zito
Kabwe (kushoto), Alipotembelea banda hilo kwenye Maonyesho ya 36 ya
Biashara ya Kimataifa Uwanja wa Sabasaba Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment